TANESCO YAELEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME YA KINYEREZI JIJINI DAR ES SALAAM
SHIRIKA
la Umeme nchini Tanzania TANESCO kupitia kwa Meneja Miradi wa Shirika hilo, anayeshughulikia
uzalishaji Mhandisi Stephene S. A. Manda limefafanua utekelezaji wa miradi ya umeme
Kinyerezi II wa Megawati 240 na ule wa upanuzi wa Kinyerezi I wa Megawati 185.
Licha
ya mradi huo wa Kinyerezi II Mradi mwingine ni wa upanuzi wa Kinyerezi I
unaozalisha megawati 150 ili ufikie Megawati 335 kwa kuongeza Megawati 185.
Post a Comment