MTANGAZAJI

MWIMBAJI WA KWAYA YA WAADVENTISTA WA SABATO YA KINONDONI DAR ES SALAAM AFARIKI DUNIA

 Image may contain: 1 person, smiling, sitting

Mwimbaji wa Kwaya Kongwe ya Kanisa la Waadventista wa Sabato ya Kinondoni Penina Boaz (Mama Jesac) amefariki dunia hii leo.Taarifa za kifo chake zimeendelea kusambazwa kwa waimbaji wa kwaya hiyo na wanaofahamu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.