PRINCE WILLIAM WA UINGEREZA ALIPOKUTANA NA RAIS WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William aliyeambatana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Sarah Cooke pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha ni Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla akiwa pamoja na Waziri wa Katiba naSheria Profesa Palamagamba Kabudi (Picha na Muhidin Michuzi)
Post a Comment