KIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO TANZANIA AFAFANUA WADHIFA WAKE MPYA KATIKA CHAMA CHA BIBLIA TANZANIA
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania Mch Mark Walwa Malekana ametoa ufafanunuzi kuhusu wadhifa wake mpya wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chama cha Biblia nchini Tanzania aliochaguliwa hivi karibuni.
Malekana amesema Chama cha Biblia sio cha dhehebu lolote Tanzania,wanachama wake ni watu wote kutoka madhehebu mbalimbali ya Kikristo,sikiliza sehemu ya Hotuba yake hapa
Katika siku za hivi karibuni kuliibuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya waumini wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato nchini Tanzania wakiuliza kuhusu wadhifa huo mpya wa Mch Mark Walwa Malekana kuongoza Chama cha Biblia nchini Tazania
Post a Comment