MTANGAZAJI

TAMASHA LA PILI LA AMBASSADORS OF CHRIST TOKA RWANDA NCHINI MAREKANI HILI HAPA

Waimbaji wa Ambassadors of Christ toka Kigali,Rwanda walioko hapa Marekani kwa ziara maalum ya mikutano ya Injili inayoendeshwa na Dkt Heri Muhando toka Tanzania katika jiji la Dallas na Huston,Texas watafanya tamasha lao la pili toka wafike hapa hiyo itakuwa ni Agosti 11,mwaka huu huko Dallas.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.