MTANGAZAJI

WAADVENTISTA WA SABATO 20 TOKA TANZANIA WAHUDHURIA MKUTANO WA GAiN SEOUL KOREA YA KUSINI



Jumla ya wajumbe 20 toka Tanzania wanahudhuria Mkutano wa kimataifa wa Waadventista wanaotumia mtandao wa intaneti katika utume wa Kanisa hilo  (GAiN) ulioanza leo Seoul Korea ya Kusini.

Miongoni mwa wajumbe hao ni viongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato,Viongozi wa Mawasiliano wa Taasis za Vyombo vya Habari vya Kanisa hilo,Wasimamizi wa Teknohama katika majimbo na wabunifu wa mifumo ya kiteknohama.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.