TAMASHA KUBWA LA TANIKA FAMILY SINGERS KUFANYIKA JIJINI MWANZA JULAI 29 MWAKA HUU
Waimbaji wa Tanika Family Gospel toka Mbeya wanataraji kufanya tamasha la aina yake jijini Mwanza ikiwa ni uzinduzi wa santuri yao mwonekano namba mbili iitwayo Umoja ambayo iliyotayarishwa na kuongozwa na Producer toka nchini Kenya,Romeo Moses.
Tamasha hilo la aina yake litafanyika Julai 29 mwaka huu katika ukumbi wa Buzuruga Plaza jijini Mwanza.
Post a Comment