MTANGAZAJI

VIONGOZI WA TAUS MIAKA MIWILI IJAYO




 Hawa ndio waliochaguliwa kuongoza Umoja wa Waadventista Watanzania waishio nchini Marekani
Uongozi wa Kitaifa
1. Michael Mwasumbi- Mwenyekiti
2. Shukrani Magoma- Katibu
3. Noah Manongi-Mweka Hazina
4. Idara ya Vijana na Watu wazima- Mlemba Nzota.
5. Idara ya Watoto- Kigwe Nsonso
6. Miradi na Uwezeshaji- Dkt. Ephraim Nkonya.
7. Chaplensia - Mch Caleb Migombo.
Chaplensia wasaidizi
Mch Christopher Mwashinga.
Mch. Philemon Mswanyama.
Mch Reuben Kingamkono.
8. Idara ya Maburudisho na Mahusiano- Elizabeth Sembura.
9. Mkurugenzi wa Miradi- Mch Caleb  Migombo.
10. Idara ya Mawasiliano- Upendo  Mbwana.
11. Idara ya Muziki- Sule Kisaka


Wenyeviti wa Kanda .
1. Midwest- Lucas Mwita.
2. New England- Dick Manumbu.
3. Mid-Atlantic- Peter Ngoye.
4. South Atlantic- Amri Ngoye.
5. Pacific- Naanyuni Kisaka.
6. Minnesota- Abdalla Mgonja.
Sikiliza undani wa kilichofanyika mwaka huu hapa

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.