KAMBI LA VIJANA WA KIADVENTISTA LAMALIZIKA HUKO KILOSA
Vijana zaidi ya 3,000 toka makanisa ya Waadventista Wa Sabato katika jimbo kuu la Kusini mwa Tanzania walihudhuria kambi la mafunzo lililofanyika Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro kwa juma moja ambalo limemalizika Juni 30 mwaka huu.
Mkurugenzi wa JCB na Kiongozi wa waimbaji wa The Light Bearers Waziri Barnabas amezungumza na wavuti hii.
Post a Comment