RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli, Mke wake Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge, viongozi wa Serikali pamoja na
Viongozi wa Dini mara baada ya
ufunguzi wa uwanja huo wa Ndege.
-->
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa
Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald
kuashiria ufunguzi wa wa rasmi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
-->
Wananchi wakishangilia wakati wa Hotuba ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi
wa Uwanja wa ndege wa Bukoba.
Post a Comment