VIDEO MPYA YA KWAYA YA MKOLANI JIJINI MWANZA YAJA
Miongoni mwa video ambazo zinatarajiwa kutoka hivi karibuni ni video mpya ya Kwaya ya Buhongwa ya jijini Mwanza ambayo imeongozwa na Mwongozaji anayechipukia Faustina Joseph Mkangala toka jijini Dar es salaam ambaye pia ni mtangazaji wa Times FM.
Katika video hiyo wimbo wa Tunasafiri ni Miongoni mwa nyimbo zilizochukuliwa video zake jijini Dar es salaam na kama inavyoonekana katika baadhi ya picha ambazo zimepigwa Mwanza wakati waimbaji wa Mkolani wakichukuliwa video ya wimbo huo.
Post a Comment