MUSOMA:WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WALIVYOIMBA WIMBO KWENYE MAKAMBI YA MUSOMA 2017
Miongoni mwa mambo yaliyovuta hisia za wengi waliohudhuria kwenye mkutano wa Makambi ya Musoma Mjini mwaka 2017 ni kuiona kwaya ya watu wenye ulemavu wa kutosikia wakiimba wimbo kwa kutumia ishara
Kwaya hiyo ilikuwa ni miongoni mwa kwaya 25 zilizoimba kwa mkutano huo.Tazama video ya wimbo walioimba
Kwaya hiyo ilikuwa ni miongoni mwa kwaya 25 zilizoimba kwa mkutano huo.Tazama video ya wimbo walioimba
Post a Comment