ANGEL DANNY MAGOTI-BAADA YA UINGEREZA SASA NI TAMASHA NA ZIARA MBALIMBALI
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Angel Magoti (Pichani) amezungumzia uzoefu alioupata jijini London,Uingereza alikokuwa amehudhuria tamasha la Uimbaji na kueleza kuwa uzoefu huo utamsaidia kupiga hatua zaidi katika masuala ya uimbaji.
Pia ameahidi kushirikiana na vikundi mbalimbali vya uimbaji ili kufanikisha tamasha lake la Uimbaji mwezi wa sita pamoja na ziara atazofanya mwaka huu nchini Tanzania.
Msikilize
Post a Comment