MAKALA:MIMBA ZA UTOTONI BADO NI KIKWAZO KWA WATOTO WA KIKE NCHINI TANZANIA
Picha kwa hisani ya www.tanzaniatoday.co.tz |
Miongoni
mwa Vikwazo katika kupata elimu kwa Watoto wa Kike wanaosoma shule za msingi na
sekondari nchini Tanzania ni tatizo la mimba za utotoni ambapo Takwimu
zinaonesha kuwa kila mwaka kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wa kike wanaopata
ujauzito katika mikoa mbalimbali nchini humo.
Katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani
mwaka 2017 Waziri
anayesimamia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia
wazee na Watoto nchini Tanzania
Ummy Mwalimu amesema Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zinaongoza kuwa na
idadi kubwa ya mimba na ndoa za utotoni ambapo takwimu zinaonyesha kuwa
wasichana wanaopata mimba za utotoni wameongezeka na kufikia asilimia 27 kwa
mwaka 2015 tofauti na ilivyokuwa asilimia 23 kwa mwaka 2010.
Sikiliza makala ya jumahili
Sikiliza makala ya jumahili
Post a Comment