MTANGAZAJI

VIDEO:RAIS DKT MAGUFULI ALIPOKUTANA NA DANGOTE



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaji Aliko Dangote ,Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2016

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.