MTANGAZAJI

PICHA NA VIDEO TOKA TAMASHA LA SAUTI ZOTE ZIIMBE DESEMBA 26,2016 JIJINI DAR ES SALAAM


 Image may contain: one or more people, crowd and indoor

Pia na Video kutoka Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam ambapo Desemba 26,2016 kulifanyika Tamasha la Sauti Zote Ziimbe, Tamasha hilo lilihusisha makundi mbalimbali ikiwemo The Voice,Vocapella,Family Music na  mmojammoja Angel Magoti na Edna Matinde Barret Mapunda na Samwel Mwazini.

Mahojiano na Mratibu wa Tamasha la Sauti Zote Ziimbe hilo Emanuel Kondi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.