VIDEO MPYA YA THE LIGHT BEARERS ILIYOREKODIWA MJINI KIGALI,RWANDA
Hii ndio video ya kwanza ya The Light Bearers waimbaji toka Tanzania waliyoifanya mjini Kigali,Rwanda juma moja lililopita,Chini ya watayarishaji wa JCB Studioz na Msanii Records.Wimbo unaitwa Mtapokea Nguvu,hii itakuwa ni video yao ya tatu kufanyia nje ya Tanzania mara ya kwanza walifanya hivyo huko Ongata Rongai nchini Kenya,toleo lao la Video linalosubiriwa kwa sasa ni lile walilorekodia nchini Uingereza mwishoni mwa mwaka jana.
Post a Comment