ARUSHA:MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA ARUSHA YAFANYIKA




Chuo Kikuu cha Arusha (UoA) kilichopo chini ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato kimefanya mahafali ya 10 tangu kuanzishwa kwa Chuo hicho mwaka 2003, Mahafali hayo yalikuwa yamejumuisha wahitimu wa ngazi mbali mbali ikiwemo wa shahada ya kwanza kwa vitivo tofauti tofauti na shahada ya uzamili toka vitivo mbalimbali.
Mahafali hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa uu wa kanisa hilo kutoka katika majimbo makuu ya mawili ya kusini na kaskazini.
Post a Comment