JUKWAA LANGU JUNI 6,2016:HAKI,WAJIBU NA NAFASI YA DIASPORA KWA TANZANIA
Photo Credits: WikiProject African Diaspora |
Ni ipi nafasi, wajibu na haki yetu katika nchi yetu (Tanzania)?
Ni kweli kuwa tuna watu ama mahala muafaka kutuwakilisha nchini kwetu?
Na je! Tuna vyanzo halisi vya habari na taarifa kutoka Tanzania?
Tumeumgama ma waTanzania wa Uingereza na Marekani kujadili hili
Post a Comment