Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametoa
siku saba kwa wafanyabiashara wanaojijua kwa namna moja ama nyingine
walikwepa ulipaji wa kodi ya serikali
wakati wa kutoa makontena yao bandari kutokimbia na kujificha na badala
yake wajitokeze kwa hiari yao wakalipe kodi waliyoikwepa na kwamba
watakaopuuza agizo hilo baada ya siku saba hatua kali za kisheria
zitachukuliwa dhidi yao.
Post a Comment