GOSPEL FLAMES QUARTET KATIKA ZIARA KUSINI MWAAFRIKA
Gospel Flames Quartet kutoka Dar es salaam,Tanzania wako nchini Botswana kwa ajili ya kuimba kwenye Kongamano la Kikrito la Vijana ambapo waliondoka jijini Dar es salaam jumannne kuelekea Joberg na juzi kusafiri kwa njia ya barabara kuelekea Botswana,Baada ya kutoka Botswana wataelekea Swaziland na baada ya Swaziland Johanesburg na kumaliza na Lesotho....watarutarudi Dar es salaam,Desemba 19 mwaka huu
Post a Comment