PICHA:UZINDUZI WA TOLEO JIPYA LA KWAYA UENEZAJI GOSPEL CHOIR YA KITUKU,GOMA-DRC WAKIWA NA AMBASSADORS OF CHRIST YA RWANDA
Waimbaji wa Kwaya ya Uenezaji Gospel |
Waimbaji wa Kike wa Ambassadors Of Christ wakifuatilia jambo kwenye uzinduzi huo |
Ambassadors of Christ jukwaani |
Mamia ya watu waliojitokeza kushuhudia uzinduzi huo |
Kwaya ya Uenezaji Gospel, ilianza mnamo mwaka wa 2002, inapatikana katika kanisa la Kituku SDA. Goma DRC. Ina matoleo ya audio manne na santuri mwonekano 2, ambazo ni ndizo TUBUNI, na HATUTA TENGANA TENA ambayo waliiizindua hii ndiyo mwezi wa 11 katika tamasha kubwa iliyo kutanisha kwaya nne za mjini Goma pamoja na Ambassadors of Christ ya Rwanda.Sikiliza miongoni mwa nyimbo zao mpya
Post a Comment