MTANGAZAJI

ZANZIBAR:WANANCHI WALIVYOSHIRIKIANA NA MBUGE WA CHUMBAGENI KUFANYA USAFI


 Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza AMJAD akishirikiana Wananchi wa Jimbo lake kutekeleza Wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufu wa Hapa Kazi Tu. kwa kufanya usafi katika maeneo ya Jimbo lao.
 Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakishiriki katika Usafi wa Mazingira ya Jimbo Lao.




Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakifanya Usafi katika maeneo ya Jimbo lao wakijumuika na Mbunge wao Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD katika kuitikia Wito wa Hapa Kazi Tu, kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika.
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.