MTANGAZAJI

RAIS WA TANZANIA JAKAYA KIKWETE WA AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA WA KENYA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Gwaride la heshima likipita mbele na kutoa heshima kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima wakati akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. John Haule kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Amos Makalla kwa  mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadick kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha IGP Ernest Mangu kwa  mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta  Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha wageni akishuhudiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta  Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta  Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ofisini kwa  mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika mazungumzo na ujumbe wa Tanzania katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga




 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakifurahia jambo baada ya picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu Oktoba 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga

Picha zote na Ikulu

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.