FAHAMU KILICHOELEZWA KWENYE RIPOTI YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO ECD HUKO SAN ANTONIO
Kumekuwa na
ongezeko la washiriki kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ambapo kwa sasa idadi ni washiriki milioni 3 na makanisa zaidi ya
elfu 23 katika eneo hilo linalojumuisha nchi 11.
Kukiwa sasa
na Unioni konferensi 3,Unioni misheni 3,konferensi 7,na field 13.
Ongezeko la
zaka kwa asilimia 67,huku ikieleza kuwa matoleo hayo toka kwa washiriki
yamesaidia kujenga majengo mpya ya ofisi za unioni na konferensi katika eneo
hilo ambalo 2/3 ya waumini wake ni vijana chini ya miaka 35.
Kuna shule
elfu 2 na vyuo vikuu 12,vituo vya afya 136,hospitali 8 na moja inayojengwa
jijini Mwanza ambayo inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
Vitabu vya
Tumaini kuu vilivyosambazwa ni nakala milioni 8.
Post a Comment