MTANGAZAJI

MBEYA:KAMBI LA VIJANA WAKUBWA WA NYANDA ZA JUU KUSINI MWA TANZANIA LINAENDELEA IGANZO JIJINI MBEYA


 
 
 
 

Mkurugenzi wa Vijana wa Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania Mch Bambaganya akihutubia katika kambi hilo.
 Kambi la vijana wakubwa toka katika mikoa ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania wa Kiadventista lililoanza Aprili 19,mwaka huu linaendelea katika viwanja vya ofisi za Makao Makuu ya kanda hiyo zilizopo Iganzo jijini Mbeya ambapo wakufunzi ni Mchungaji Richard Khaniki,Mch Bambaganya,Mch Mwasomola,Mch Chaboma,Mch Haruni Kikiwa na lilifunguliwa na Mchungaji Rabson Nkoko lilitaraji kuhitimishwa Aprili 25 mwaka huu.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.