MTANGAZAJI

ARUSHA:PICHA ZA MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA SITA 2015 TASS

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha Prof Emanueli Matiku (Mwenye skafu) akiwasili kwenye viwanja vya mahafali katika shule ya TASS
 

 
Wahitimu
Ukaguzi katika maabara
 
 

Njiro SDA Choir wakiimba kwenye mahafali hayo
 Aprili 19,2015  Shule ya Sekondari ya Waadventista nchini Tanzania (TASS) ilifanya mahafali ya pili ya kidato cha sita ambapo  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha Profesa Emanuel Matiku akiwatunukia vyeti wanafunzi waliohitimu wa kidato cha sita sherehe zilizofanyika katika viwanja vya shule hiyo iliyopo USA River,Arusha.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.