WAADVENTISTA WA SABATO WASHIRIKI KATIKA MATENDO YA HURUMA JIJINI ARUSHA
Huduma ya Matendo ya Huruma inayoratibiwa na Idara ya Vijana
wakishirikiana na Idara ya Mawasiliano ya Kanisa La Waadventista Wa
Sabato inaendelea Nchini Tanzania.
Katika kona mbalimbali za Jiji la
Arusha Viongozi na Vijana wanaonyesha Ukristo kwa Vitendo kwa
kuwahudumia wahitaji wa aina mbalimbali wakiwemo wagonjwa,wajane,watoto
yatima,wazee,walemavu na watoto waishio mazingira hatarishi.
Post a Comment