MTANGAZAJI

PICHA:MAKAMBI YA SANAWARI ARUSHA YALIVYOHITIMISHWA KWA KISHINDO

Waimbaji wa Mjini Kati Arusha
Wanafunzi wa Shule ya Maliado
Sanawari nao walikuwepo
Kwaya ya Vijana Mjini Kati Arusha
Mchungaji wa Mtaa wa Sanawari Mch Sando akihojiwa na Mtangazaji ,mahojiano ambayo yalirushwa moja kwa moja  na Morning Star Radio

Wachungaji waliohudumu toka Kushoto,Mch Sando,Mch Mang'ombe,Mch Kajiru,Dr Nathaniele Walemba,Mch Davis Fue na Mch Mkwenga






 Makambi ya Mtaa wa Sanawari katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato jijini Arusha yalimalizika mwishoni mwa juma,makambi hayo yaliyoshirikisha washiriki wa Makanisa matatu ya Mjini Kati,Ilikiding'a na Sanawari na kurushwa moja kwa moja na Morning Star Radio na  kwenye mtandao kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 12 jioni katika kipindi cha Lulu za Injili    

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.