PICHA:MAKAMBI YA MAGOMENI YALIVYOHITIMISHWA
Watoto Wakionesha matendo waliyojifunza |
Magomeni SDA Choir Wakiimba |
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kanda ya Mashariki mwa Tanzania Mch.Mark Walya Malekana akitoa nasaha za mwisho kushoto kwake na Mch Greg na mkewe toka Accra Ghana na Mzee wa Kanisa Shani Kiswaga akitafsiri(Picha zote kwa Hisani ya Mgini Kweba) |
Post a Comment