Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Idd Ligongo
Msanii na mwanahabari makini ambaye amezungumza mengi mema kuhusu Sanaa na Habari ya Tanzania.
Amezungumzia historia yake katika fani hizi, ilipo na anapoiona ikielekeaNi kati ya mazungumzo ninayoamini utapata mengi ya kujifunza.
KARIBU UNGANE NASI
Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction at gmail dot com
Post a Comment