MTOTO ASABABISHA NYUMBA KUTEKETEA KWA MOTO HUKO KWIBANGA,TARIME
Peter Yakobo mkazi wa Kwibanga,Tarime,Mara akiwa anaangalia nyumba yake baada ya mtoto wake
kuwasha redio kwa kiberiti na nyumba kuwaka moto kisha kuteketetea kama
inavyooonekana pichani. Ni mtoto wa miaka minne ambaye pichani anaongea na baba
yake.
Picha zote na Waitara Meng'anyi
Post a Comment