MAKAMU WA KIONGOZI MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO DUNIANI GEOFREY MBWANA KUENDESHA KONGAMANO LA UWAKILI JIJINI DAR ES SALAAM
Mch Geofrey Gabriel Mbwana |
Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Mch.Geofrey Gablie Mbwana akitokea yalipo makao makuu ya kanisa hilo nchini Marekani atatoa mafundisho katika Kongamano la Uwakili lililoandaliwa na mtaa wa Mbagala wa kanisa hilo kuanzia Septemba 1 hadi Septemba 7,2013 katika Kanisa la Waadventista Wasabato Kongowe jijini Dar es salaam.
Mkutano huo utakaokuwa ukifanyika kuanzia 11 jioni hadi saa 2 usiku na siku ya mwisho yaani Septemba 7 mkutano utaanza asubuhi.
Post a Comment