KURASINI SDA CHOIR KUFANYA TAMASHA KISUMU,KENYA AGOSTI 4,2013
Kwaya kongwe ya nyimbo za Injili nchini Tanzania, Kurasini SDA inatarajia kuelekea Kisumu nchini Kenya juma lijalo kwa ajili ya makambi tarehe 3 -10 Agost, 2013. ambapo Agosti 4,2013 watafanya tamasha la uimbaji mjini Kisumu.
Tamasha litafanyika kwenye uwanja wa michezo wa Kenyata na litahusisha
wageni mashuhuri mbalimbali kule Kenya.Lengo la tamasha hilo ni kuchangisha
fedha kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kwaya hiyo iliyoko Bungu
-Rufiji,Tanzania
Post a Comment