HIZI NDIZO ZILIKUWA NYIMBO KUMI KATIKA LULU ZA INJILI HII LEO KATIKA KIPINDI CHA LULU ZA INJILI
.
ALIPIGWA YESU-FAMILY SINGERS-DSM-267
2.
KISA CHA BATMAYO-MASHUJAA WA YESU-DSM-114
3.
UMECHOSHWA NA DUNIA-BETHEL ADVENTIST YOUTH
CHOIR-GEITA-76
4.
ONDOA SHAKA-SAUTI YA INJILI-MWANHUZI-73
5.
DAMU YA THAMANI-KIBURUGWA SDA CHOIR-DSM-31
6.
YUSUFU-MSHIKAMANO SDA CHOIR-MEATU-20
7.
PAMBANO KUU-AY SAKINA-ARUSHA-15
8.
MAWAZO MABAYA-RACHEL KATONDO-DSM-13
9.
TUMEKARIBIA-USHINDI SDA CHOIR-MBUGUNI-11
10.
MAMBO MATATU-IGELEGELE SDA CHOIR-MWANZA-6
Mbele ya kila wimbo ni idadi ya kura zilizopigwa juma zima kuupendekeza wimbo husika,kipindi hiki hurudiwa saa 6 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki unaweza kusikiliza kulia mwa blog hii kwenye kona pameandikwa sikiliza Morning Star Radio
Post a Comment