BAADHI YA PICHA ZA MKUTANO WA VIJANA WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO UNAOFANYIKA AFRIKA KUSINI
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Mch Teddy Wilson akihutubia mkutano |
Dr Baraka Muganda toka Chuo Kikuu cha Washington akipewa tuzo |
Dr. Ben Carson mmoja wa waandishi wa vitabu mahili akihutubia |
Mkurugenzi wa Idara ya Vijana ECD,Mch Mwakalonge (Mwenyetai) nyuma yake ni Mch Elias Kasika |
Mch Teddy Wilson akiingia uwanjani (Picha zote na Darly Gungadoo wa AWR) |
Post a Comment