'WAMACHINGA"WA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM WALIPOFANYA USAFI LEO
Add caption |
Kuanzia sasa wamachinga na
wafanya biashara wote wa maeneo ya Mwenge watakuwa wanafanya usafi
katika maeneo ya karibu na kituo cha daladala mwenge kila siku ya Jumamosi na kuwa hakuna mtu
ataruhusiwa kutupa takataka hovyo katika viunga vya Mwenge.
Hii ni
changamoto kwa serikli ya hapa kuhakikisha kuwa ari hii inaendelea na
kujifunza kuwa sio kila wakati wamachinga ni wafanya fujo. Ni watu
wastaarabu na wanaweza kufanya mambo makubwa kama wakiunganisha kwa
kuhamasishwa.
Tahadhari kwa wapitaji wa Maeneo ya
Mwenge "USITUPE TAKATAKA HOVYO KATIKA ENEO HILI MAANA UKINASWA NA POLISI
WA MAZINGIRA UTAWAJIBISHWA.
Chanzo: goldentzblog
|
Post a Comment