UZINDUZI WA DVD MWONEKANO NAMBA MBILI YA MBIU KWAYA HUU HAPA
Mbiu Kwaya toka Kanisa la Waadventista Wasabato Tandale jijini Dar es salaam inataraji kufanya uzinduzi wa DVD mwonekano namba 2 waliyoipa jina la Fikiri Mwenyewe,uzinduzi utakofanyika Juni 2,2013 katika ukumbi wa Delux Hall Sinza jijini Dar es salaam,Tanzania,kuanzia saa 6 mchana.
Uzinduzi huo uliodhaminiwa na Excellent Pro utawahusisha pia waimbaji wa Sonda ya Dilu,Kurasini SDA Choir,Angaza Kwaya,Familia ya Injili
Post a Comment