MTANGAZAJI

PICHA ZA SHOOTING YA VIDEO YA KWANZA YA THE VOICE ITAKAYOKUWA KATIKA DVD ILIYOFANYIKA JANA

Kiongozi wa THE VOICE Obed Mack akimtambulisha Mama yake katika tukio hilo
Baadhi ya waimbaji wanne wa The Voice ambao ni ndugu wakiwa na mama yao akizungumza

The Voice wakiimba wimbo wa kuisifia nchi ya Tanzania
Watu waliojitokeza katika tukio hilo la kurekodi video ya kwanza ya The Voice uliofanyika jana usiku katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es salaam,TanzaniaStudio iliyokuwa ikirekodi video ya The Voice
(Picha zote na mmoja wa waratibu wa tukio hilo John Kagaruki)

2 comments

lameck said...

Hi,

Kindly i am a music fan especially the The voice i have been following them here in Kenya.How can i get a copy of this latest that they launched.

Rgds,

Lameck

Kenya

Anonymous said...

May god bless these guyz, ur doing a gud job b blessd

Mtazamo News . Powered by Blogger.