PICHA ZA SHOOTING YA VIDEO YA KWANZA YA THE VOICE ITAKAYOKUWA KATIKA DVD ILIYOFANYIKA JANA
![]() |
Kiongozi wa THE VOICE Obed Mack akimtambulisha Mama yake katika tukio hilo |
![]() |
Baadhi ya waimbaji wanne wa The Voice ambao ni ndugu wakiwa na mama yao akizungumza |
![]() |
The Voice wakiimba wimbo wa kuisifia nchi ya Tanzania |
![]() |
Watu waliojitokeza katika tukio hilo la kurekodi video ya kwanza ya The Voice uliofanyika jana usiku katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es salaam,Tanzania |
![]() |
Studio iliyokuwa ikirekodi video ya The Voice |
Post a Comment