MTANGAZAJI

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU YATOA TAMKO KUHUSU KUKIUKWA KWA TARATIBU ZA UCHAGUZI IGUNGA

Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Imelda Urio akizungumza na waandishi wa habari  katika makao makuu ya kituo hicho jijini Dar es salaam leo

Mwenyekiti wa Asasi 16  zisizo za Kiserikali TACCEO Martina Kabisama,ambazo zimepewa jukumu la uangalizi wa ndani wa uchaguzi mdogo huko Igunga akitoa tamko la kukiukwa kwa taratibu za mchakato wa uchaguzi.Asasi hizo zimesema kuwa miongoni mwa mapungufu yaliyojitokeza ni Hakuna uboreshwaji wa daftari la kudumu la mpiga kura,Vyama kutozingatia ratiba za kampeni,Ukiukwaji wa haki za binadamu na vyombo vya habari kutoa taarifa zisizo sahihi.
 




No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.