MTANGAZAJI

MAADHIMISHO YA MIAKA 16 YA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC)

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akihutubia 

Jaji Mkuu Othman Chande akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Wakili Francis Kiwanga

Kwaya ya LHRC ikiimba



Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman leo ameshiriki katika maazimisho ya miaka 16 toka kuanzishwa kwa kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania na kufungua jengo la kituo hicho lililopo Kinondoni Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari Jaji Mkuu amesema sheria ya adhabu ya kifo bado iko katika mchakato lakini akasema lengo la Umoja wa Mataifa ni kuondoa sheria hiyo katika nchi mbalimbali duniani.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.