JUBILII YA KUANZISHWA KWA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO ROMBO KILIMANJARO
Kiongozi Mkuu Msaidizi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Mch Geofrey Mbwana akiimba na baadhi ya washiriki wa kiadventista huko Rombo,Kilimanjaro |
Watu waliohudhuria jubilii hiyo huko Rombo |
Mch Geofrey Mbwana (mwenye koti na tai)akiwa amesimama nje ya Kanisa huko Rombo |
Mojawapo ya makanisa ya Waadventista Wasabato huko Rombo hapa ni jinsi lilivyo ndani |
Post a Comment