MTANGAZAJI

JUBILII YA KUANZISHWA KWA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO ROMBO KILIMANJARO

Kiongozi Mkuu Msaidizi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Mch Geofrey Mbwana akiimba na baadhi ya washiriki wa kiadventista huko Rombo,Kilimanjaro

Watu waliohudhuria jubilii hiyo huko Rombo


Mch Geofrey Mbwana (mwenye koti na tai)akiwa amesimama nje ya Kanisa huko Rombo

Mojawapo ya makanisa ya Waadventista Wasabato huko Rombo hapa ni jinsi lilivyo ndani

Mtazamo News . Powered by Blogger.