MAJERUHI WA AJALI YA AMBASSADORS OF CHRIST WALIVYOPELEKWA RWANDA MEI 10
![]() |
| Umati wa watu wakiwasubiri kuwaona majeruhi wa ajali katika hospitali ya King Faisal |
![]() |
| Helkopta ya kijeshi iliyowabeba majeruhi |
![]() |
| Helkopta baada ya kutua |
![]() |
| Askali wakimshusha mmoja wa majeruhi |
![]() |
| Ndugu wakisubiri kuwaona majeruhi |
![]() |
| Majeruhi wakipelekwa hospitalini |
![]() |
| Mmoja wa waimbaji wa sauti ya nne wa Ambassadors of Christ akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali huko Rwanda |





















Post a Comment