MTANGAZAJI

WADAU WA LONDON UINGEREZA WALIVYOCHANGIA GONGO LA MBOTO

                       JESTINA GEORGE AKIKARIBISHA NA KUSHUKURU WADAU
LEO, KAMWANO NA FREDDY MACHA KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA 
                 DADA EMMY HAKUBAKI NYUMA KATIKA TUKIO HILI
            FREDDY MACHA ALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUCHANGIA
                  MR & MRS KAMWANO SABUNI WAKIKABDHI MCHANGO WAO
                       ALI HAMISI NA RAFIKI YAKE WAKIKABIDHI MCHANGO WAO

Shukrani za  Dhati kwa watanzania wote  waishio  LONDON UK walioweza kufika  AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT kwa ajili ya kuchangia waathirika wa mabomu Gongo la Mboto  Tanzania.

Kwa muda wa masaa mawili zilipatikana pesa taslim Pounds £600, pia tumekusanya Nguo nyingi kutoka kwa watu mbalimbali na vifaa vingine mbali mbali. 

Shukrani za dhati ziwaendee URBAN PULSE,MISS JESTINA BLOG,AIL TV, LOCUS IMPEX SHIPPING CO, SHILLA FRISCH, MRS NASIBU NA Utawala wa AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT LONDON kwa kusaidia na kuwezesha kufanikiwa kwa zoezi hili

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania
Asanteni

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.