HARAMBEE YA GONGO LA MBOTO READING-UINGEREZA YAFANA
Frank Kutoka Urban Pulse akiwa na tina kutoka Miss Jestina wakila pozi baada ya harambee.
Mkurugenzi Mtendaji wa LOCUS IMPEX SHIPPING MR B CHISUMO akifungua Harambee. Mtoto Chanele akimpa Mchango wake Miss Jestina.
Toa Ndugu ikiendela.
Salam,
Jestina Akiwa kazini.
Mdau akichangia jamboMkurugenzi Mtendaji wa LOCUS IMPEX SHIPPING MR B CHISUMO akifungua Harambee. Mtoto Chanele akimpa Mchango wake Miss Jestina.
Toa Ndugu ikiendela.
Baada ya kazi, kutoka kushoto JJ, Chisumo, miss Jestina,Gardol na Frank.
Tunapenda kutoa shukrani zetu za Dhati kwa watanzania wote waishio Reading UK walioweza Kuja Leo mchana Vincent kuchangia wahangwa wa Gongo la Mboto Tanzania. Kwa mda wa saa moja tumekusanya Jumla ya pesa taslim Pounds £200 Pia tumekusanya Nguo nyingi kutoka kwa watu mbalimbali. Tafadhali Kumbuka bado hujachelewa kwa wakazi wa Reading ambao hawakuweza kufika leo mnaweza kupeleka michango yenu Vincent siku ya mwisho ya kukusanya ni jumanne ijayo tarehe 1.3.11.
Ningependa kutoa shukrani za dhati kutoka URBAN PULSE,MISS JESTINA BLOG,AIL TV, LOCUS IMPEX SHIPPING CO, SHILLA FRISCH, MRS NASIBU NA Utawala wa Vincent Restaurant Reading kwa kusaidia zoezi la leo.
Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania
Asanteni
Post a Comment