1 comment
-
-
Kazi mlioifanya ni nzuri ila hii Video inatia uvivu kuiangalia, mnatakiwa mchague good representative, watu ambao ni wazuri kwenye kuongea. Sithani kama huyu dada hii ni kazi yake kweli, na pia huyu anaeongea.Inaonekana kama vile wanafundishwa kuongea. Mgetumia tu njia ya kuandika kutoa shukrani na sio hii video na breaking news za uongo, kwenye TV ya uongo, msidanganye jamii. Kikwete akiwashtukia hatachukua huu msaada wenu NG'OO.
- March 2, 2011 at 5:39 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment