UTANI KWA SHEMEJI ZANGU
Mchagga alinunua mbuzi! Akamwambia mpishi; Nyama nusu ipikie pilau na nyingine itie kwenye friza! Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa!
Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
Mpishi akamuuliza : Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye
simu yako?
Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
Mpishi akamuuliza : Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye
simu yako?
Post a Comment