MTANGAZAJI

MAZISHI YA MCHUNGAJI JOSEPH ONYANGO YALIVYOFANYIKA MISUFINI-MOROGORO

                                                 Kaburi likitayarishwa
                     Watoto wa Marehemu Mchungaji Joseph Onyango

Hivi ndivyo yalivyofanyika mazishi ya Mchungaji Joseph Shem Onyango huko Morogoro,katika viwanja vya Makao Makuu ya  Kanisa la Waadventista Wasabato Kanda ya Mashariki mwa Tanzania(ETC)

2 comments

penina said...

-bwana ametoa na ametwaa jina lake libarikiwe

Anonymous said...

kweli ni huzuni kubwa

Mtazamo News . Powered by Blogger.